Literal question
Hospital admissions
(the patient has spent more than 24 hours in a bed/stretcher)
Kulazwa hospitalini (mgonjwa ametumia zaidi ya saa 24 kwenye kitanda/machela)
e) Covered by: (please choose the most used/relevant option)
Matibabu yako yalilipiwa kwa njia gani: (tafadhali chagua lililotumika zaidi/linalofaa)
11 Other (please specify)
Nyingine (tafadhali taja)
Question pretext
Consider the [PRE-COVID] period [BEFORE MARCH 2020SPECIFY MONTH: FROM …TO]. Think about the Hospital admissions and hospital outpatient visits you had in the 6 months before COVID:
Zingatia kipindi cha [PRE-COVID] [TAJA MWEZI: KUANZIA ... HADI]. Fikiria kuhusu kulazwa na ziara za matibabu ulizokuwa nazo hospitalini katika miezi 6 kabla ya COVID: