Literal question
Hospital admissions(the patient has spent more than 24 hours in a bed/stretcher)
Kulazwa hospitalini(mgonjwa amekaa zaidi ya saa 24 kwenye kitanda/machela)
e) Covered by: (please choose the most used/relevant option)
Matibabu yako yalilipiwa kwa njia gani: (tafadhali chagua lililotumika zaidi/linalofaa)
11) Other (please specify)
Nyingine (tafadhali taja)
Question pretext
Consider the [COVID] period [SPECIFY MONTHS FROM …TO]. Think about the Hospital admissions and hospital outpatients visits you had in the 6 months after COVID:
Zingatia kipindi cha [COVID] [TAJA MIEZI KUANZIA ... HADI].AJA Fikiria kuhusu kulazwa Hospitalini na ziara za matibabu ya kawaida hospitalini uliyokuwa nayo katika miezi 6 baada ya COVID: