Literal question
Think about the health care you received at places other than a hospital in the [pre-COVID] period [BEFORE MARCH 2020]. Have you ever received in the 3 months beforeduring the pre COVID healthcare from one of the following: specialist doctor or surgeon, primary care doctor, nurse, pharmacist or dispensary, health educator, medical assistant/clinical officer, community health worker?
Fikiri kuhusu huduma za afya ulizopokea katika maeneo mengine kando na hospitali katika kipindi cha [kabla ya COVID] [TAJA MIEZI KUANZIA ... HADI]. Je, umewahi kupokea [wakati wa kipindi cha kabla ya COVID] kutoka kwa mojawapo ya yafuatayo: daktari au daktari maalum wa upasuaji, daktari wa huduma ya msingi/kawaida, muuguzi, mfamasia au zahanati, mwalimu wa afya, msaidizi wa matibabu/afisa wa kliniki, mfanyakazi wa afya ya jamii?
Question post text
If the reply to question 3.20 is YES, please answer 3.21, 3.22, 3.23, 3.24, 3.25, 3.26, 3.27
If the reply is NO, please go to 3.30
Ikiwa jibu la swali la 3.20 ni NDIYO, tafadhali jibu 3.21, 3.22, 3.23, 3.24, 3.25, 3.26, 3.27
Ikiwa jibu ni HAPANA, tafadhali nenda kwa 3.30