Literal question
Think about the health care you received at places other than a hospital In the [3 worst months of the COVID] period [SPECIFY MONTHS FROM …TO] . Have you ever received [during that COVID period] healthcare from one of the following: specialist doctor or surgeon, primary care doctor, nurse, traditional healer, pharmacist or dispensary, health educator, medical assistant/clinical officer, community health worker?
Fikiri kuhusu huduma za afya ulizopokea katika maeneo mengine kando na hospitali Katika kipindi cha [COVID] [TAJA MIEZI KUANZIA ... HADI] . Je, umewahi kupokea [wakati wa kipindi cha COVID] huduma ya afya kutoka kwa mojawapo ya yafuatayo: daktari maalum au daktari wa upasuaji, daktari wa huduma ya msingi, muuguzi, muuguzi wa kienyeji, mfamasia au zahanati, mwalimu wa afya, msaidizi wa matibabu/afisa wa kliniki, mhudumu wa afya ya jamii?
Question post text
If the reply to question 3.32 is YES, please answer questions 3.33, 3.34, 3.35, 3.36, 3.37, 3.38, 3.39
If the reply to question 3.32 is NO, go to 3.40
Ikiwa jibu la swali la 3.32 ni NDIYO, tafadhali jibu maswali 3.33, 3.34, 3.35, 3.36, 3.37, 3.38, 3.39
Ikiwa jibu la swali la 32.32 ni HAPANA, nenda kwa 32.40