Literal question
In the 3 months during the [COVID period] [SPECIFY MONTHS FROM …TO], did you/[person] visit a traditional healer's or faith dwelling?
Katika kipindi cha miezi 3 [kipindi cha COVID] [TAJA MIEZI KUTOKA ... HADI], Je, ulitembelea/[mtu] kwa daktari wa kienyeji au makao ya imani?
b) Total fees and charges
Jumla ya ada na malipo
Question post text
If the reply to question 3.40 is YES, please reply question 3.41
If the reply to question 3.40 is NO, please reply question 3.42
Ikiwa jibu la swali la 3.40 ni NDIYO, tafadhali jibu swali la 3.41
Kama jibu la swali 3.40 ni HAPANA, tafadhali jibu swali la 3.42