Literal question
Did you usually have a phone consultation or in-person consultation during the [COVID] period?
Je, kwa kawaida ulikuwa na mashauriano ya simu au mashauriano ya ana kwa ana wakati wa kipindi cha [COVID]?
Question pretext
Section 3.E Access to health care
Sehemu ya 3.E Upatikanaji wa huduma za afya
We are interested to know whether the COVID pandemic has affected the accessibility to the main healthcare facilities you used to manage your T2D. Please think about the main healthcare facility/healthcare provider you used to get T2D -related care in the period [before COVID].
Tuna nia ya kujua ikiwa janga la COVID limeathiri ufikiaji wa vituo vikuu vya afya ulivyotumia kudhibiti T2D yako. Tafadhali fikiria kuhusu kituo kikuu cha huduma ya afya/mtoa huduma wa afya uliyemtumia kupata huduma zinazohusiana na T2D katika kipindi cha [kabla ya COVID].