Literal question
Now please consider the 3 (worst) during COVID. During this period did you ever visit a hospital to get any kind of medical care for yourself, including just seeing a doctor or nurse or just to get medication for diabetes related treatment/complications?
Sasa tafadhali zingatia miezi 3 baada ya kipindi cha COVID. Je, katika kipindi hiki uliwahi kutembelea hospitali ili kupata huduma ya matibabu ya aina yoyote kwa ajili yako, ikiwa ni pamoja na kumuona daktari au muuguzi au kupata tu dawa za matibabu/matatizo yanayohusiana na ugonjwa wa kisukari?
YES (NDIYO)
NO (HAPANA)
Question pretext
Consider the [PRE-COVID] period [BEFORE MARCH 2020SPECIFY MONTH: FROM …TO]. Think about the Hospital admissions and hospital outpatient visits you had in the 6 months before COVID:
Zingatia kipindi cha [PRE-COVID] [TAJA MWEZI: KUANZIA ... HADI]. Fikiria kuhusu kulazwa na ziara za matibabu ulizokuwa nazo hospitalini katika miezi 6 kabla ya COVID:
Question post text
If the reply to Question 3.16 is YES, please reply to questions 3.17, 3.18, 3.19
If the reply to Question 3.16 is NO, please skip questions 3.17, 3.18, 3.19 and reply to questions 3.20
Ikiwa jibu la Swali la 3.16 ni NDIYO, tafadhali jibu maswali 3.17, 3.18, 3.19
Ikiwa jibu la Swali la 3.16 ni HAPANA, tafadhali ruka maswali 3.17, 3.18, 3.19 na ujibu swali 3.20