Literal question
Consider the main healthcare facility used in the PRE-COVID period:
Fikiria kituo kikuu cha huduma ya afya kinachotumika katika kipindi cha KABLA YA COVID:
b) Did you pay for the journey to the health facility? If yes, how much in total did you pay for yourself for a round trip?
Je, ulilipia safari ya kwenda kituo cha afya? Ikiwa ndio, ni kiasi kipi kwa jumla ulilipa kwa safari ya kwenda na kurudi?
Question pretext
Section 3.E Access to health care
Sehemu ya 3.E Upatikanaji wa huduma za afya
We are interested to know whether the COVID pandemic has affected the accessibility to the main healthcare facilities you used to manage your T2D. Please think about the main healthcare facility/healthcare provider you used to get T2D -related care in the period [before COVID].
Tuna nia ya kujua ikiwa janga la COVID limeathiri ufikiaji wa vituo vikuu vya afya ulivyotumia kudhibiti T2D yako. Tafadhali fikiria kuhusu kituo kikuu cha huduma ya afya/mtoa huduma wa afya uliyemtumia kupata huduma zinazohusiana na T2D katika kipindi cha [kabla ya COVID].