| Value |
Category |
| ANADHANIA AKO NA MPENZI MWINGINE |
|
| BIBI AKIWA NA MPENZI MWINGINE |
|
| BWANA KUCHELEWA NAYE MWANAMKE KUKOSA KUTOSHELEZA BWANA YAKE KIMAPENZI |
|
| DONT KNOW |
|
| GOSSIP, KUKOSA KUPATA WATOTO |
|
| HASIRA OR HAVING OTHER PARTNERS SO THEY ABUSE YOU SO YOU CAN LEAVE THEY REMARRY |
|
| HAWALINDI WATOTO WAO, HAKUNA CHAKULA, KUPIGWA, KUWADHARAU HADHARANI, KUWALAZIMISHA KIMAPENZI |
|
| INHERITANCE |
|
| KUBAKA WASICHANA WAO |
|
| KUKOSA CHAKULA |
|
| KUKOSA KUELEWANA |
|
| KUKOSA KUELEWANA KWA SABABU MBALI MBALI SIZIJUI |
|
| KUKOSA PESA, FORCED SEX LEADING TO FIGHT |
|
| KUKOSEANA HESHIMA |
|
| KUONEANA WIVU |
|
| KUTOAMINANA KATIKA NDOA, REJECTING A MAN WHEN HE WANTED LOVE AFFAIR FROM A LADY |
|
| KUTOAMINIANA |
|
| KUTOAMINIANA KUFUNGIWA NA NYUMBA NA BWANA |
|
| KUTOELEWANA |
|
| KUTOELEWANA KWA NYUMBA |
|
| KUTOELEWANA, MADHARAU |
|
| KUTOJALI-WANAUME HUONA WANAWAKE HAWANA FAIDA HAWAWEZI KUFANYA KITU |
|
| KUTOKUHESHIMU WAZEE WAO |
|
| KUTOPELEKA WATOTO SHULENI AU KUWANYIMA HAKI YAO |
|
| KUVAA NGUO FUPI HASA WATU WA KIKE |
|
| KUWA NA BIBI MWAINGINE NJE AU KUFANYA UMALAYA INAWAKOSANISHA WATU |
|
| LABDA MTU AMEAMBIWA UONGO JUU YA BIBI YAKE KISHA ANAPATA CHAI KWA MOTO ANAMWAGIA |
|
| LABDA UNAHITAJI PESA NA YEYE HANA KISHA UNAANZA MABISHI NDIYO ATAKUPIGA |
|
| LACK OF FOOD, NO EMPLOYMENT, PROSTITUTION |
|
| LACK OF RESPECT, KUTOPATA WATOTO |
|
| MADHARAU |
|
| MADHARAU KWA WANAWAKE |
|
| MADHARAU TU |
|
| MADHARAU, HESHIMA, KUKOSEKANA |
|
| MADHARAU, WANAUME HAWATAKI WAAMBIWE YA KWAMBA WANAKOSA |
|
| MATUSI, KUPIGWA, KUDHARAULIWA |
|
| MWANA WAKE WA KAMBO |
|
| NOT APPLICABLE |
|
| NOT APPLICABLE FOR MALES |
|
| PENGINE AKO NA HASIRA YA NJE AMEKOSANA NA MTU ANALETA HASARA KWA NYUMBA |
|
| PENGINE BWANA AKO NA BIB MWINGINE |
|
| SIJUI BADO SIJASIKIA |
|
| SIJUI LABDA BABA AKOSE KULETA PESA AULIZWE AKASIRIKE ALAFU WAPIGANE |
|
| SUSPICIOUS OF UNFAITHFULNESS |
|
| UKIWA NA MWANAMKE MWINGINE UKIULIZA NI SHIDA ATAANZA KUKUPIGA |
|
| UKOSEFU WA MALEZI BORA |
|
| ULEVI |
|
| UMALAYA |
|
| UMASKINI |
|
| UNFAITHFULNESS AND GENERAL DISAGREEMENT |
|
| UNFAITHFULNESS, JEALOUSY, MAKELELE, KUKOSANA |
|
| USHERATI, KUKOSA CHAKULA |
|
| USIPOFUATA MASHARTI YAKE ATAKUCHAPA, WIVU UKIONGEA NA MWANAUME MWINGINE |
|
| WANAUME KUWA NA WANAWAKE KANDO YA NDOA |
|
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.